Michuano ya kwanza kabisa wa FIFA Series ya wanawake iliyofanyika jijini Nairobi nchini Kenya, imehitimishwa kwa mafanikio ...
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) chenye msimamo mkali kutoka mrengo wa  kushoto nchini ...
"Siku ya kwanza, niliuliza 'kwa nini hakuna wanawake tena?'," anasema Hind Kabawat. Yeye ni waziri wa masuala ya kijamii na kazi wa Syria , waziri pekee mwanamke katika serikali ya mpito aliyepewa ...
Aprili 15 inatimia miaka mitatu tangu mapigano yalipoanza nchini Sudan kati ya jeshi na vikosi vyenye hadhi ya kijeshi vya ...
DODOMA: Serikali imepanga kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa katika mwaka wa fedha ...
DODOMA: Serikali imeshauriwa kuboresha mfumo wa ajira nchini kwa kuruhusu waombaji wenye sifa na vyeti vya ngazi mbalimbali ...
Mtoto wa kiume amekuwa mtoto wa kwanza nchini Uingereza kuzaliwa kwa kutumia tumbo ya uzazi lilopandikizwa kutoka kwa mtu aliyefariki. Grace Bell, ambaye ana umri wa miaka 30 na alizaliwa bila tumbo ...
Mamlaka za uchaguzi nchini Hungary zinasema chama cha upinzani kilichopata umaarufu haraka cha Tisza kina uhakika wa kushinda ...
Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete, (JKCI), imeanza kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma za upandikaziji ...